Chuo
Kikuu Cha California-Riverside
Kikundi Cha Utafiti Kuhusu
Harakati za Kijamii kati ya Kitaifa/Mataifa
I. Ushiriki Kisiasa:
(1) Je? ni
Makongamano yapi ya Kijamii ya Dunia umewahi kuhudhuria huko nyuma kabla ya
hili? Weka alama panapo
husika.
o2001 o2002 o2003 o2004 o2005
o2006 oSijawahi
(2) Je? umewahi
kuhudhuria moja kati ya Makongamano ya Kijamii yafuatayo? Weka alama panapo husika.
oMaalumu oKikanda oKitaifa oKwa mazingira fulani
(3) Ni sababu
zipi zilizokufanya uhudhurie Kongamano la Kijamii la Kidunia? Weka alama panapo husika.
o Kupanga mpango wa utekelezaji, kutekeleza
shughuli fulani kwa pamoja.
o Kushirikiana, kukutana na watu, au
kujiunga na kikundi
o Kuandikisha wanachama wapya
o Kujifunza mambo na kupashana habari
o Kujifunza utamaduni mwingine au kufurahia maonyesho ya kitamaduni
oKazi oUtafiti oKusaidia katika ukalimani wa lugha oKuweka kumbukumbu au kuchukua taarifa
fulani
oKujiliwaza oKufurahia au kupumzika
(4) Uliwezaje kulipa gharama za safari yako kuweza kuhudhuria Kongamano la Kijamii la Kidunia? Weka alama panapo husika.
oFedha ya safari toka kwa mwajiri o Fedha kutoka mashirika ya kisiasao Fedha zangu binafsi oUfadhili kutoka kwenye makampuni ya kibiashara
oFamilia na Marafiki oFedha ya safari kutoka katika taasisi ya kielimu
oKutoka
mfuko wa hisani au taasisi
fulani
(5a) Je, una uhusiano na shirika au kikundi chochote kinacho husika katika
harakati za kijamii? Weka alama
katika kisanduku kinacho husika
zaidi kwa ajili ya shirika ambalo una uhusiano nalo:
oHakuna (Sina uhusiano na kikundi chochote rasmi au shirika).
oChama/Vyama vya Wafanyakazi oShirika/Mashirika
yasiyokuwa ya Kiserikali oHarakati
za Kisiasa au Shirika/Mashirika ya Kisiasa oChama/Vyama ya Siasa
oWakala wa Serikali
o Taasisi/Harakati za
Kidini oChama/Vyama vya Kitaalamu
oKikundi/Vikundi vya kijamii au mapumziko oKikundi cha Kiutamaduni oNyingine
ŕIwapo jibu lako ni “hakuna”
katika swali la 5a, tafadhali ruka mpaka suali la 7.
(5b) Weka alama
panapo husika. Japo
shirika moja kati ya yale uliyowekea alama katika swali la
5a…
…linalo jishughulisha na
masuala ya kisiasa na kupata ruzuku kutoka kwa wanachama wake pekee? Chagua
jibu moja.
oHapana oNdiyo
… ambalo ni la kimataifa au linalo jishughulisha na kampeni
za kimataifa? Chagua
jibu moja. oHapana oNdiyo
…pia ni shirika ambalo una
nafasi ya uongozi au nafasi unayo lipwa ujira? Chagua jibu moja. oHapana oNdiyo
(6a) Tafadhali
onyesha endapo unahudhuria Kongamano
la Kijamii la Kidunia kwa niaba ya African Union (AU) na unapanga kutoa taarifa ya uzoefu wako kwenye Kongamano la
Kijamii la Kidunia kati ya
mojawapo ya mashirika yafuatayo. Weka alama
panapo huiska.
oChama/Vyama vya wafanyakazi oShirika/Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali o Harakati za Kisiasa au Shirika/Mashirika ya Kisiasa o
Chama/Vyama ya Siasa
oWakala wa Serikali o Taasisi za Kidini/Harakati oChama/Vyama vya Kitaalamu
o Hapana oNyinginezo
(eleza)_______________________________________________________________
(6b) Weka alama
panapo husika. Walau kwenye
moja ya mashirika uliyochagua katika swali la 6a
… linalojihusisha
katika masuala ya kisiasa na linafadhiliwa na wanachama wake pekee? Chagua jibu moja. oHapana oNdiyo
…na ni la kimataifa au
linalojihusisha na kampeni za kimataifa? Chagua jibu moja.
oHapana oNdiyo
… pia ni shirika ambalo una
nafasi ya uongozi au nafasi unayolipwa ujira? Jibu moja.
oHapana oNdiyo
(7) Katika miezi
12 iliyopita, umehudhulia
maandamano mangapi au kupinga mambo yasiyokuwa na maslahi kwa jamii ambayo umeshiriki?
(jumla) _____
(8) Ni mwaka upi
ambao ulishiriki kwa mara ya kwanza katika maandamano au kupinga mambo
yasiyokuwa na maslahi kwa umma?
19______20______
oSijawahi kushiriki katika aina yoyote ya
maandamano au kupinga mambo yasikuwa na maslahi kwa umma.
II. Taarifa Binafsi:
(9) Jinsia yako
ni ipi? Chagua jibu moja.
o Mke o Mme o
Nyingine:_____________________________________________
(10) Matakwa yako
ya kijinsia ni yapi? Weka alama panapo husika.
o Jinsia tofauti o Jinsia moja o Jinsia zote
mbili oShoga/Msenge
o Nyingine__________________________________________ o Siwezi kujibu
(11) Umeoa au
umeolewa? Weka alama panapo husika.
o Sijaoa/sijaolewa o Tumetengana au Tumetarikiana o Mjane oNimeolewa/Nimeoa
(12) Je, kwa sasa unamtunza mtoto mmoja au zaidi mwenye umri wa miaka 18 au
chini ya hapo?
Chagua jibu moja. o Hapana o Ndiyo
(13) Endapo unalea watoto wenye umri wa miaka 18. Je, wanahudhuria Kongamano hili la Kijamii
la Kidunia? Chagua jibu moja. (Kama huna watoto, tafadhali ruka swali hili).
o Hapana o Ndiyo
(14) Umezaliwa
mwaka gani? 19________
(16) Katika nchi
unayoishi, unachukuliwa kama sehemu ya jamii au kikundi cha watu kilicho
pembezoni? Chagua jibu moja. oHapana oNdiyo
(17) Jamii au
asili yako ni ipi ? Chagua jibu moja.
o Mweusi o Mashariki ya Kati o Asia ya Kusini
o Mwenyeji o
Mwenyeji wa Amerika ya Kati, Kusini/Mhispania o Asia Mashariki
o Mzungu o Mkazi wa Visiwa vilivyomo Bahari ya
Pasifiki
o Mchanganyiko wa Asili: Tafadhali eleza
_______________________________________________
o Nyingine:Tafadhali
fafanua___________________________________________________
o Sioni haja ya kujibu
(18)
Ulizaliwa nchi gani? ___________________________
(19) Unaishi wapi
kwa sasa?
Mji/Jiji
_____________________ Nchi
_________________________
(20) Je, unapata
mawasiliano ya kila siku kwenye mtandao? Chagua jibu moja.
oHapana oNdiyo
(21) Unajionaje kuhusiana na msimamo wako kidini?
o Si wa Kidini o Kwa sehemu fulani ni wa Kidini o Wa Kidini Hasa
(22) Ni ipi kati ya hizi dini zifuatazo zinaelezea
imani yako ya dini zaidi? Chagua jibu moja.
oMkatoliki o Budha o Myahudi o Sina imani
o Mkristo o Mhindu o Mwislamu oAsiyeamini
o Dini za Kiasili za Afrika o Nyingine_____________________________________
(23) Ni Lugha
ngapi unaongea kwa ufasaha zaidi? Chagua jibu moja.
o Moja o Mbili o Tatu au zaidi
(24) Je, una hali gani kiajira kwa sasa? Weka
alama panapo husika:
oNimeajiriwa muda wote (Nafanya kazi walau kwa
masaa 35 kwa wiki) oNimeajiriwa kwa muda
o Nimejiajiri
kwa muda o Sijaajiriwa
o Nimestaafu o Mwanafunzi o Nategemea kipato cha familia
o Naishi kwa kutegemea akiba au vitegauchumi o Najitolea
(25) Wakati mwingine
watu hujitofautisha kuwa wapo katika tabaka la wafanyakazi, tabaka la kati au
tabaka la juu au lile la chini. Katika hali yako ya sasa, unaweza kujiweka
katika tabaka lipi? Chagua
jibu moja.
o Tabaka la Juu o Tabaka la Kati la Juu o Tabaka la
Kati la Chinio Tabaka la Wafanyakazi o Tabaka la Chini
(26)
Ukijilinganisha na watu wengine katika nchi unayotoka, kipato cha kaya yako
unaweza kukiweka katika kiwango kipi, pamoja na mshahara, pensheni na vipato
vingine? Chagua
jibu moja.
o Robo Ya juu o Robo Ya pili toka juu o
Robo Ya pili toka chini o Robo Ya chini
(27)
Tafadhali andika jumla ya miaka uliyo tumikia ulipokuwa shuleni. Namba
hii inapaswa kujumlisha miaka ya elimu ya msingi, sekondari/upili, ufundi, chuo
kikuu na elimu ya shahada za juu. ____________________________
(28) Je, una
shahada ya juu ya chuo kikuu uliyopata kutoka nchini mwako? Chagua jibu moja.
oHapana oNdiyo
(29) Endapo una shahada ya juu ya elimu, ni
katika masomo yapi? Weka alama panapo
husika.
oKilimo oElimu
oSayansi Asilia oSayansi Jamii oSanaa oUhandisi oHisabati
oKompyuta oAfya oSheria/Masomo ya Sheria oBiashara/Utawala oLugha/Utaalamu wa Lugha/Fasihi
III. Maoni ya Kisiasa
(30) Tafadhali toa pendekezo juu ya maoni
yako kuhusiana na maelezo yafuatayo: “Imekuwa ni matarajio kwa mwendelezo wa
makongamano ya kijamii kupata misaada kutoka Nchi za Kusini ili kutoa
changamoto kwa mamlaka zilizo Nchi za Kaskazini.” Chagua jibu moja.
o Nakubali kabisa o Nakubali kwa kiwango kikubwa o Nakubali o Sikubali/SikataiWastani o Sikubali o Sikubali kwa kiwango
kikubwa
(31) Ni lipi kati ya haya
yanaelezea mtizamo wako kisiasa?
oMlengo wa Mbali wa
Kushoto oMlengo wa Kushoto oMlengo wa Kushoto wa Kati
oMlengo wa Kati oMlengo wa Kati wa Kulia oMlengo wa Kulia
oMlengo wa Kulia wa Mbali oSijali oSina uhakika
(32) Je, unajiona
mwenyewe kuwa mwaharakati za kijamii za kidunia? oHapana oNdiyo
(33) Kama
unadhani kuwa wewe ni sehemu ya harakati za kijamii za dunia, nini hasa malengo
yako katika harakati hizi? (eleza)
__________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________
(34) Je, unadhani kuwa tunahitaji kubadilisha mfumo wa ubepari au
kuutokomeza kabisa? Chagua jibu moja.
o Tuubadilishe o Tuutokomeze o Tusiubadilishe wala
kuutokomeza
(35) Kati ya ngazi zifuatazo, ni
ngazi ipi ambayo ni muhimu katika
kutatua matatizo yaliyopo kwa sasa? Chagua jibu moja.
oKijamii o Kimajimbo au
sehemu ya Taifa oKitaifa
oKimataifa oKidunia
(36) Je, unadhani kuwa ni wazo zuri au baya kuwa na serikali moja ya
kidunia ambayo ni ya kidemokrasia ? Chagua jibu moja.
oNi wazo zuri,
na inawezekana oWazo zuri, japo haiwezekani oWazo baya
(37) Kwa siku za baadaye, unadhani
nini kifanyike kuhusu taasisi hizi za kidunia ( Kwa kila taasisi weka jibu moja
tu):
Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) Shirika la Kimataifa la Biashara (WTO):
o Ufanyiwe mabadiliko o Uondolewe o Lifanyiwe Mabadilikko o Liondolewe
o Ubadilishwe o Usifanywe kitu o Libadilishwe o Lisifanywe kitu
Benki ya Dunia(World Bank): Umoja
wa Mataifa (UN):
o Ifanyiwe mabadiliko o Iondolewe o Ufanyiwe mabadiliko o Uondolewe
o Ibadilishwe o Iachwe o Ufanyiwe Mabadiliko o Usifanywe kitu
(38) Kwa maoni yako,
tafadhali toa pendekezo
lako kuhusiana na maelezo yafuatayo: “Kongamano la Kijamii
la Kidunia linapaswa kubaki kama eneo la wazi la midahalo na halipashwi kuchukua nafasi ya
umma kuhusiana na masuala ya kisiasa. Chagua jibu moja.
o Nakubali kabisa o Nakubali o Sikubali/Sikatai o Sikubali o Sikubali kabisa
(39) Kwa maoni yako, tafadhali toa alama kuhusiana
na maelezo yafuatayo: “Shirika moja la kidunia linapaswa kuanzishwa kuratibu
shughuli za mwendelezo wa harakati za kijamii za dunia” Jibu moja.
o Nakubali kabisa o Nakubali o Sikubali/Sikatai o Sikubali o Sikubali Kabisa
(40) Kwa maoni yako, tafadhali toa pendekezo lako kuhusiana
na maelezo yafuatayo: “Aina nyingi za matabaka na jamii isiyo na usawa
zitaondoka baada ya ubepari kutokomezwa”. Chagua jibu moja. o Nakubali kabisa o Nakubali o Sikubali/Sikatai o Sikubali kabisa
(41) Kwa maoni yako, tafadhali toa pendekezo lako kuhusiana
na maelezo yafuatayo: Katika hali nyingi za kisiasa, katika demokrasia
wakilishi, ambapo viongozi wanachaguliwa au kuteuliwa kuwakilisha makundi ya
kijamii, ni kufilisika. Tunahitaji kubadilisha mfumo wa kisiasa kutoka ule wa
kimatabaka na kuwa mfummo wa demokrasia shirikishi (ama wa moja kwa moja).” Chagua jibu moja.
o Nakubali kabisa o Nakubali o Sikubali/Sikatai o Sikubali o Sikubali Kabisa
(42) Kwa maoni yako, tafadhali toa pendekezo lako kuhusiana
na maelezo yafuatayo: “Wasomi wanahodhi sehemu kubwa ya mijadala katika Kongamano la Kijamii la
Kidunia”. Chagua jibu moja.
o Nakubali kabisa o Nakubali o Sikubali/Sikatai o Sikubali o Sikubali kabisa
(43) Nini
kifanyike kuhusiana na madeni ya nchi masikini? Chagua jibu moja.
o Yaondolewe oYakusanywe
oYapunguzwe oSina maoni
(44) Je, harakati
za kijamii zibakie kuwa za amani kwa watu wote kwa hali yoyote ile? Chagua jibu moja. oHapana oNdiyo
oSijali
(45) Je,
ungependa ushuru utozwe
katika malipo ya fedha ya kimataifa
ambayo itatumika katika kutoa kipato kwa nchi tajiri na kupeleka kwa
nchi masikini (mfano: pendekezo la ushuru wa Tobin)? Chagua jibu moja.
oHapana oNdiyo
oSijali
(46) Je, unaunga
mkono fidia kwa makundi ya watu yaliyoathirika na utumwa, ukoloni na ubaguzi wa rangi ili
kuhakikisha kuwa yanakuwa na hali bora zaidi? Chagua jibu moja.
oHapana oNdiyo
oSijali
(47) Je, unadhani
kuwa vyama vya siasa na serikali mbalimbali zitumie mfumo wa uwiano
unaokubalika katika kuhakikisha kuwa wanawake wanapata uwakilishi katika
taasisi za kisiasa? Chagua jibu moja.
oHapana oNdiyo
oSijali
(48) Je, mashirika ya afya pamoja na yale yanayotoa taarifa kuhusiana na utoaji mimba yapewe
misaada ya fedha ya kimataifa? Chagua jibu moja.
oHapana oNdiyo
oSijali
(49) Je, unaunga
mkono haki ya wanawake kutoa mimba? Chagua jibu moja.
oNdiyo
kwa hali yoyote ile
oWakati
mwingine (inategemea na mazingira)
oHapana/Isitokee
oSijali
IV. Taarifa za Kiharakati:
(50a)
Je, unajitambulisha kuwa mshiriki kikamilifu katika
harakati zozote za kijamii?
oHapana oNdiyo
ŕ Iwapo jibu lako katika swali la 50a lilikuwa ni “Hapana” tafadhali nenda ukurasa wa
mwisho.
(50b)
Chagua ni
harakati gani inakutambua na/ama unashirikiana nayo kikamilifu?
(a) ninatambuliwa hasa: (b) ninashiriki
kikamilifu:
1. oUtamaduni
/Vyombo vya Habari oUtamaduni /Vyombo vya habari
2. o Mtu asiyeamini kuwepo sheria wala serikali o Mtu
asiyeamini kuwepo sheria wala serikali
3. o Kupinga kuwepo kwa
biashara o Kupinga kuwepo kwa
biashara
4. o Kupinga Utandawazi o Kupinga Utandawazi
5. o Kupinga Ubaguzi o Kupinga Ubaguzi
6. oUtandawazi
/ Haki Duniani oUtandawazi /Haki Duniani
7. oUhuru wa Taifa-
o Uhuru wa Taifa-
8. oUkomunisti oUkomunisti
9. o
Misaada ya Kimaendeleo/ Misaada ya Kiuchumi o Misaada ya Kimaendeleo/ Kiuchumi
10.oMwana mazingira- oMwana
mazingira-
11.oHaki/Kujaliana
katika Biashara o Haki/Kujaliana
katika Biashara
12.oHaki za
Vyakula/Vyakula vinavyouzika taratibu o Haki za Vyakula/Vyakula vinavyouzika taratibu
13.oHaki za
Mashoga/Wasagaji/Jinsia zote
oHaki za
Mashoga/Wasagaji/Jinsia zote
14.o Afya/
UKIMWI o Afya/ UKIMWI
15.o Haki
ya Makazi/kupinga watu kuhamishwa katika makazi yao/ ujenzi holela katika
makazi yasiyopimwa
oHaki ya Makazi/kupinga watu kuhamishwa katika makazi yao/ ujenzi holela
katika makazi yasiyopimwa
16.o Haki
za Binadamu o Haki za Binadamu
17.oMzawa wa asili- Native o Mzawa wa
asili- Native
18.o
Wasiokuwa na ajira/ haki za ustawi. oWasiokuwa na ajira/ haki za ustawi.
19.o Kazi o Kazi
20.o
Uhamaji/Haki za wahamaji oUhamaji/Haki za wahamaji
21.o Uhuru
wa Kitaifa/ Utawala wa Kitaifa o Uhuru wa Kitaifa/ Utawala wa Kitaifa
22.o Hati
Miliki za Wasomi/ Vyanzo huria o Hati Miliki za Wasomi/ Vyanzo Huria
23.o Amani/
Kupinga Vita o Amani/Kupinga Vita
24.o
Wakulima wadogo wadogo/Wakubwa/Wasiomiliki ardhi/Mabadiliko katika sekta ya Ardhi
o Wakulima wadogo
wadogo/Wakubwa/Wasiomiliki ardhi/Mabadiliko katika sekta ya Ardhi
25.oKidini/Kiroho oKidini/Kiroho
26.oUjamaa oUjamaa
27.o
Maswala ya Wanawake/Wanaharakati watetezi wa Maswala ya Wanawake
o Maswala ya Wanawake/Wanaharakati
watetezi
wa Maswala ya
Wanawake
28.o
Nyingine, orodhesha tafadhali ___________________
o Nyingine, orodhesha tafadhali _______________________
V. Maoni
51. Tafadhali
andika hapo chini iwapo una maoni yoyote kuhusiana na utafiti huu, mambo ambayo hayajaelezewa
ndani yake, au maoni ya jumla
kuhusiana na Kongamano
la Kijamii la Kidunia.:
____________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________
Tunakushukuru kwa
kuchukua muda wako
kujibu maswali haya. Unapokamilisha
kujaza, tafadhali rudisha kwa mtu aliyekupatia hojaji hili. Au tuma hojaji hili la utafiti lililokamilika kwa:
Institute for
Research on World-Systems
RE: Research
Working Group on Transnational Social Movements College Building South
University of
California-Riverside
Riverside, CA.
92521 USA