Chuo Kikuu Cha California-Riverside   

Kikundi Cha Utafiti Kuhusu Harakati za Kijamii kati ya Kitaifa/Mataifa

Utafiti huu kwa washiriki wa Kongamano la Kijamii la Dunia kwa mwaka 2007, sababu ya kongamano hili ni kujifunza zaidi kuhusu mwenendo wa washiriki katika Kongamano hili juu ya imani zao na ushiriki wao katika harakati za kijamii.  Kongamano la Kijamii la Kidunia linafanyika ili kuendeleza ushirikiano na jitihada za makusudi kwa kuwasaidia wanaharakati kuelewa uhusiano uliopo katika uendelezaji wa harakati nyingine. Tutashukuru iwapo utatumia muda wako kujaza na kurudisha maswali haya ya utafiti kwa mtu aliyekupa. Asante. 

I. Ushiriki Kisiasa:

 

(1) Je? ni Makongamano yapi ya Kijamii ya Dunia umewahi kuhudhuria huko nyuma kabla ya hili? Weka alama panapo husika. 

o2001           o2002           o2003           o2004           o2005

o2006           oSijawahi

 

(2) Je? umewahi kuhudhuria moja kati ya Makongamano ya Kijamii yafuatayo? Weka alama panapo husika.

oMaalumu     oKikanda      oKitaifa oKwa mazingira fulani

 

(3) Ni sababu zipi zilizokufanya uhudhurie Kongamano la Kijamii la Kidunia? Weka alama panapo husika.        

o Kupanga mpango wa utekelezaji, kutekeleza shughuli fulani kwa pamoja.

o Kushirikiana, kukutana na watu, au kujiunga na kikundi

o Kuandikisha wanachama wapya    

o Kujifunza mambo na kupashana habari      

o Kujifunza utamaduni mwingine au kufurahia maonyesho ya kitamaduni

oKazi  oUtafiti oKusaidia katika ukalimani wa lugha oKuweka kumbukumbu au kuchukua taarifa fulani

oKujiliwaza oKufurahia au kupumzika

 

(4)  Uliwezaje kulipa gharama za safari yako kuweza kuhudhuria  Kongamano la Kijamii la Kidunia? Weka alama panapo husika.

oFedha ya safari toka kwa mwajiri                 o Fedha kutoka mashirika ya kisiasao Fedha zangu binafsi                          oUfadhili kutoka kwenye makampuni ya kibiashara   

oFamilia na Marafiki              oFedha ya safari kutoka katika taasisi ya kielimu

oKutoka mfuko wa hisani au taasisi fulani

 

(5a)  Je, una uhusiano na shirika au kikundi chochote kinacho husika katika harakati za kijamii?  Weka alama katika kisanduku kinacho husika zaidi kwa ajili ya shirika ambalo una uhusiano nalo:

oHakuna (Sina uhusiano na kikundi chochote rasmi au shirika).

oChama/Vyama vya Wafanyakazi      oShirika/Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali    oHarakati za Kisiasa au Shirika/Mashirika ya Kisiasa              oChama/Vyama ya Siasa                  

oWakala wa Serikali                    o Taasisi/Harakati za Kidini oChama/Vyama vya Kitaalamu                    

oKikundi/Vikundi vya kijamii au mapumziko  oKikundi cha Kiutamaduni     oNyingine     

 

ŕIwapo jibu lako ni “hakuna” katika swali la 5a, tafadhali ruka mpaka suali la 7.

 

(5b) Weka alama panapo husika. Japo shirika moja  kati ya yale uliyowekea alama katika swali la 5a…

linalo jishughulisha na masuala ya kisiasa na kupata ruzuku kutoka kwa wanachama  wake pekee? Chagua jibu moja.

oHapana                 oNdiyo

ambalo ni la kimataifa au linalo jishughulisha na kampeni za kimataifa? Chagua jibu moja. oHapana      oNdiyo

pia ni shirika ambalo una nafasi ya uongozi au nafasi unayo lipwa ujira? Chagua jibu moja. oHapana                             oNdiyo

 

(6a) Tafadhali onyesha endapo unahudhuria Kongamano la Kijamii la Kidunia kwa niaba ya African Union (AU) na unapanga kutoa taarifa ya uzoefu wako kwenye Kongamano la Kijamii la Kidunia kati ya mojawapo ya mashirika yafuatayo. Weka alama  panapo huiska.

                                                           

oChama/Vyama vya wafanyakazi       oShirika/Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali    o       Harakati za Kisiasa au Shirika/Mashirika ya Kisiasa    o       Chama/Vyama ya Siasa

oWakala wa Serikali        o Taasisi za Kidini/Harakati oChama/Vyama vya Kitaalamu

o Hapana                    oNyinginezo (eleza)_______________________________________________________________                   

(6b) Weka alama panapo husika. Walau kwenye moja ya mashirika uliyochagua katika swali la 6a

… linalojihusisha katika masuala ya kisiasa na linafadhiliwa na wanachama wake pekee? Chagua jibu moja. oHapana              oNdiyo

na ni la kimataifa au linalojihusisha na kampeni za kimataifa? Chagua jibu moja.

oHapana                                            oNdiyo

pia ni shirika ambalo una nafasi ya uongozi au nafasi unayolipwa ujira? Jibu moja.

 oHapana                                           oNdiyo

 

(7) Katika miezi 12 iliyopita, umehudhulia maandamano mangapi au kupinga mambo yasiyokuwa na maslahi kwa jamii ambayo umeshiriki? (jumla) _____

 

(8) Ni mwaka upi ambao ulishiriki kwa mara ya kwanza katika maandamano au kupinga mambo yasiyokuwa na maslahi kwa umma?

19______20______         

oSijawahi kushiriki katika aina yoyote ya maandamano au kupinga mambo yasikuwa na maslahi kwa umma.

 

II. Taarifa Binafsi:

 

(9) Jinsia yako ni ipi? Chagua jibu moja.

o Mke           o Mme          o Nyingine:_____________________________________________

 

(10) Matakwa yako ya kijinsia ni yapi? Weka alama panapo husika.

o Jinsia tofauti            o Jinsia moja o Jinsia zote mbili                   oShoga/Msenge       

o Nyingine__________________________________________     o Siwezi kujibu

 

(11) Umeoa au umeolewa? Weka alama panapo husika.

o Sijaoa/sijaolewa     o Tumetengana au Tumetarikiana       o Mjane  oNimeolewa/Nimeoa      

           

(12) Je, kwa sasa unamtunza mtoto mmoja au zaidi mwenye umri wa miaka 18 au chini ya hapo?

Chagua jibu moja. o Hapana o Ndiyo

 

(13) Endapo unalea watoto wenye umri wa miaka 18.  Je, wanahudhuria Kongamano hili la Kijamii la Kidunia? Chagua jibu moja. (Kama huna watoto, tafadhali ruka swali hili).

o Hapana                                          o Ndiyo

 

(14) Umezaliwa mwaka gani?  19________

 

(15) Wewe ni raia wa nchi gani? _______________________________________________

 

(16) Katika nchi unayoishi, unachukuliwa kama sehemu ya jamii au kikundi cha watu kilicho pembezoni? Chagua jibu moja. oHapana                  oNdiyo

 

(17) Jamii au asili yako ni ipi ? Chagua jibu moja.

o Mweusi                  o Mashariki ya Kati   o Asia ya Kusini       

o Mwenyeji   o  Mwenyeji wa Amerika ya Kati, Kusini/Mhispania  o Asia Mashariki                  

o Mzungu                  o Mkazi wa Visiwa vilivyomo Bahari ya Pasifiki

o Mchanganyiko wa Asili: Tafadhali eleza _______________________________________________

o  Nyingine:Tafadhali fafanua___________________________________________________

o Sioni haja ya kujibu

 

(18) Ulizaliwa  nchi gani? ___________________________

 

(19) Unaishi wapi kwa sasa?

Mji/Jiji _____________________       Nchi _________________________

 

(20) Je, unapata mawasiliano ya kila siku kwenye mtandao? Chagua jibu moja.

oHapana                           oNdiyo

 

(21) Unajionaje kuhusiana na msimamo wako kidini?

o Si wa Kidini           o Kwa sehemu fulani ni wa Kidini      o Wa Kidini Hasa

 

(22)  Ni ipi kati ya hizi dini zifuatazo zinaelezea imani yako ya dini zaidi? Chagua jibu moja.

oMkatoliki                o Budha        o Myahudi     o Sina imani

o Mkristo      o Mhindu      o Mwislamu  oAsiyeamini

o Dini za Kiasili za Afrika o Nyingine_____________________________________

 

(23) Ni Lugha ngapi unaongea kwa ufasaha zaidi? Chagua jibu moja.

o Moja                      o Mbili                      o Tatu au zaidi

 

(24) Je, una hali gani  kiajira  kwa sasa? Weka alama  panapo husika:

oNimeajiriwa muda wote (Nafanya kazi walau kwa masaa 35 kwa wiki) oNimeajiriwa kwa muda 

o Nimejiajiri kwa muda o Sijaajiriwa

o Nimestaafu o Mwanafunzi        o Nategemea kipato cha familia        

o Naishi kwa kutegemea akiba au vitegauchumi o Najitolea

 

(25) Wakati mwingine watu hujitofautisha kuwa wapo katika tabaka la wafanyakazi, tabaka la kati au tabaka la juu au lile la chini. Katika hali yako ya sasa, unaweza kujiweka katika tabaka lipi? Chagua jibu moja.

o Tabaka la Juu         o Tabaka la Kati la Juu          o  Tabaka la Kati la Chinio Tabaka la Wafanyakazi            o Tabaka la Chini

 

(26) Ukijilinganisha na watu wengine katika nchi unayotoka, kipato cha kaya yako unaweza kukiweka katika kiwango kipi, pamoja na mshahara, pensheni na vipato vingine? Chagua jibu moja.

o  Robo Ya juu                     o  Robo Ya pili toka juu        o  Robo Ya pili toka chini      o Robo Ya chini

(27)    Tafadhali andika jumla ya miaka uliyo tumikia ulipokuwa shuleni. Namba hii inapaswa kujumlisha miaka ya elimu ya msingi, sekondari/upili, ufundi, chuo kikuu na elimu ya shahada za juu. ____________________________

(28) Je, una shahada ya juu ya chuo kikuu uliyopata kutoka nchini mwako? Chagua jibu moja.

oHapana       oNdiyo

(29) Endapo una shahada ya juu ya elimu, ni katika masomo yapi? Weka alama  panapo husika.

oKilimo                     oElimu                      oSayansi Asilia          oSayansi Jamii         oSanaa                       oUhandisi      oHisabati       oKompyuta            oAfya oSheria/Masomo ya Sheria            oBiashara/Utawala oLugha/Utaalamu wa Lugha/Fasihi                               

 

III. Maoni ya Kisiasa

 

(30)  Tafadhali toa pendekezo juu ya maoni yako kuhusiana na maelezo yafuatayo: “Imekuwa ni matarajio kwa mwendelezo wa makongamano ya kijamii kupata misaada kutoka Nchi za Kusini ili kutoa changamoto kwa mamlaka zilizo Nchi za Kaskazini.” Chagua jibu moja.

o Nakubali kabisa   o    Nakubali kwa kiwango kikubwa   o Nakubali    o Sikubali/SikataiWastani      o Sikubali            o Sikubali kwa kiwango kikubwa

 

(31) Ni lipi kati ya haya yanaelezea mtizamo wako kisiasa?

oMlengo wa Mbali    wa Kushoto      oMlengo wa Kushoto oMlengo wa Kushoto wa Kati

oMlengo wa Kati                  oMlengo wa Kati wa Kulia    oMlengo wa Kulia

oMlengo wa Kulia wa Mbali             oSijali                        oSina uhakika

 

(32) Je, unajiona mwenyewe kuwa  mwaharakati za kijamii za kidunia? oHapana oNdiyo

 

(33) Kama unadhani kuwa wewe ni sehemu ya harakati za kijamii za dunia, nini hasa malengo yako katika harakati hizi? (eleza) __________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

 

(34) Je, unadhani kuwa tunahitaji kubadilisha mfumo wa ubepari au kuutokomeza kabisa? Chagua jibu moja.

o Tuubadilishe           o Tuutokomeze                     o Tusiubadilishe wala kuutokomeza

 

(35)  Kati ya ngazi zifuatazo, ni ngazi ipi ambayo ni muhimu katika kutatua matatizo yaliyopo kwa sasa? Chagua jibu moja.

oKijamii        o Kimajimbo au sehemu ya Taifa       oKitaifa                    

oKimataifa    oKidunia

 

(36) Je, unadhani kuwa ni wazo zuri au baya kuwa na serikali moja ya kidunia ambayo ni ya kidemokrasia ? Chagua jibu moja.

oNi wazo zuri, na inawezekana          oWazo zuri, japo haiwezekani            oWazo baya

 

(37) Kwa siku za baadaye, unadhani nini kifanyike kuhusu taasisi hizi za kidunia ( Kwa kila taasisi weka jibu moja tu):

 

Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF)  Shirika la Kimataifa la Biashara (WTO):

o Ufanyiwe mabadiliko          o Uondolewe                                    o Lifanyiwe Mabadilikko o Liondolewe

o Ubadilishwe           o Usifanywe kitu                   o Libadilishwe           o Lisifanywe kitu

 

Benki ya Dunia(World Bank):                                       Umoja wa Mataifa (UN):

o Ifanyiwe mabadiliko           o Iondolewe                         o Ufanyiwe mabadiliko          o Uondolewe

o Ibadilishwe                                           o Iachwe                  o Ufanyiwe Mabadiliko         o Usifanywe kitu

 

(38) Kwa maoni yako, tafadhali toa pendekezo lako kuhusiana na maelezo yafuatayo: “Kongamano la Kijamii la Kidunia linapaswa kubaki kama eneo la wazi la midahalo na halipashwi kuchukua nafasi ya umma kuhusiana na masuala ya kisiasa. Chagua jibu moja.

o Nakubali kabisa     o Nakubali    o Sikubali/Sikatai      o Sikubali     o  Sikubali kabisa

 

(39)  Kwa maoni yako, tafadhali toa alama kuhusiana na maelezo yafuatayo: “Shirika moja la kidunia linapaswa kuanzishwa kuratibu shughuli za mwendelezo wa harakati za kijamii za dunia” Jibu moja.

o Nakubali kabisa     o Nakubali    o Sikubali/Sikatai      o Sikubali     o  Sikubali Kabisa

 

(40)  Kwa maoni yako, tafadhali toa pendekezo lako kuhusiana na maelezo yafuatayo: “Aina nyingi za matabaka na jamii isiyo na usawa zitaondoka baada ya ubepari kutokomezwa”. Chagua jibu moja. o Nakubali kabisa    o Nakubali    o Sikubali/Sikatai             o Sikubali kabisa

 

(41)  Kwa maoni yako, tafadhali toa pendekezo lako kuhusiana na maelezo yafuatayo: Katika hali nyingi za kisiasa, katika demokrasia wakilishi, ambapo viongozi wanachaguliwa au kuteuliwa kuwakilisha makundi ya kijamii, ni kufilisika. Tunahitaji kubadilisha mfumo wa kisiasa kutoka ule wa kimatabaka na kuwa mfummo wa demokrasia shirikishi (ama wa moja kwa moja).” Chagua jibu moja.

o Nakubali kabisa     o Nakubali    o Sikubali/Sikatai      o Sikubali     o Sikubali Kabisa

 

(42)  Kwa maoni yako, tafadhali toa pendekezo lako kuhusiana na maelezo yafuatayo: “Wasomi wanahodhi sehemu kubwa ya mijadala katika Kongamano la Kijamii la Kidunia”. Chagua jibu moja.

o Nakubali kabisa     o Nakubali    o Sikubali/Sikatai      o Sikubali     o  Sikubali kabisa

 

(43) Nini kifanyike kuhusiana na madeni ya nchi masikini? Chagua jibu moja.

o Yaondolewe                       oYakusanywe

oYapunguzwe           oSina maoni

 

(44) Je, harakati za kijamii zibakie kuwa za amani kwa watu wote kwa hali yoyote ile? Chagua        jibu moja.                                                                                                                                          oHapana                oNdiyo                     oSijali

 

(45) Je, ungependa ushuru utozwe katika malipo ya fedha ya kimataifa  ambayo itatumika katika kutoa kipato kwa nchi tajiri na kupeleka kwa nchi masikini (mfano: pendekezo la ushuru wa Tobin)? Chagua jibu moja.

oHapana                   oNdiyo                    oSijali

 

(46) Je, unaunga mkono fidia kwa makundi ya watu yaliyoathirika na utumwa, ukoloni na ubaguzi wa rangi ili kuhakikisha kuwa yanakuwa na hali bora zaidi? Chagua jibu moja.

 oHapana                  oNdiyo                    oSijali

 

(47) Je, unadhani kuwa vyama vya siasa na serikali mbalimbali zitumie mfumo wa uwiano unaokubalika katika kuhakikisha kuwa wanawake wanapata uwakilishi katika taasisi za kisiasa? Chagua jibu moja. 

oHapana                   oNdiyo                    oSijali

 

(48) Je, mashirika ya afya pamoja na yale yanayotoa  taarifa kuhusiana na utoaji mimba yapewe misaada ya fedha ya kimataifa? Chagua jibu moja.

oHapana                   oNdiyo                    oSijali

 

(49) Je, unaunga mkono haki ya wanawake kutoa mimba? Chagua jibu moja.

oNdiyo kwa hali yoyote ile

oWakati mwingine (inategemea na mazingira)

oHapana/Isitokee

oSijali

IV. Taarifa za Kiharakati:

(50a)  Je, unajitambulisha  kuwa mshiriki kikamilifu katika harakati zozote za kijamii?

oHapana                   oNdiyo        

ŕ Iwapo jibu lako katika swali la 50a lilikuwa ni “Hapana” tafadhali nenda ukurasa wa mwisho.        

(50b)  Chagua ni harakati gani  inakutambua na/ama unashirikiana nayo kikamilifu?

(a)  ninatambuliwa hasa:                                              (b) ninashiriki kikamilifu:

1. oUtamaduni /Vyombo vya Habari                                          oUtamaduni /Vyombo vya habari

2. o   Mtu asiyeamini kuwepo sheria wala serikali    o Mtu asiyeamini kuwepo sheria wala serikali

3. o Kupinga kuwepo kwa biashara                                       o Kupinga kuwepo kwa biashara

4. o Kupinga Utandawazi                                                           o Kupinga Utandawazi                                                           

5. o Kupinga Ubaguzi                                        o Kupinga Ubaguzi     

6. oUtandawazi / Haki Duniani                                               oUtandawazi /Haki Duniani

7. oUhuru wa Taifa-                                                                       o Uhuru wa Taifa-

8. oUkomunisti                                                                              oUkomunisti

9. o Misaada ya Kimaendeleo/ Misaada ya Kiuchumi        o Misaada ya Kimaendeleo/ Kiuchumi

10.oMwana mazingira-                                                                  oMwana mazingira-

11.oHaki/Kujaliana katika Biashara                                            o Haki/Kujaliana katika Biashara

12.oHaki za Vyakula/Vyakula vinavyouzika taratibu               o Haki za Vyakula/Vyakula vinavyouzika taratibu

13.oHaki za Mashoga/Wasagaji/Jinsia zote                                  oHaki za Mashoga/Wasagaji/Jinsia zote

14.o Afya/ UKIMWI                                                                    o Afya/ UKIMWI

15.o Haki ya Makazi/kupinga watu kuhamishwa katika makazi yao/ ujenzi holela katika makazi yasiyopimwa

oHaki ya Makazi/kupinga watu kuhamishwa katika makazi yao/ ujenzi holela katika makazi yasiyopimwa

16.o Haki za Binadamu                                                  o Haki za Binadamu

17.oMzawa wa asili- Native                                                         o Mzawa wa asili- Native

18.o Wasiokuwa na ajira/ haki za ustawi.                                 oWasiokuwa na ajira/ haki za ustawi.

19.o Kazi                                                                                        o Kazi

20.o Uhamaji/Haki za wahamaji                                                  oUhamaji/Haki za wahamaji

21.o Uhuru wa Kitaifa/ Utawala wa Kitaifa                               o Uhuru wa Kitaifa/ Utawala wa Kitaifa

22.o Hati Miliki za Wasomi/ Vyanzo huria                o Hati Miliki za Wasomi/ Vyanzo Huria

23.o Amani/ Kupinga Vita                                                            o Amani/Kupinga Vita

24.o Wakulima wadogo wadogo/Wakubwa/Wasiomiliki ardhi/Mabadiliko katika sekta ya Ardhi

o Wakulima wadogo wadogo/Wakubwa/Wasiomiliki ardhi/Mabadiliko katika sekta ya Ardhi

25.oKidini/Kiroho                                                                          oKidini/Kiroho

26.oUjamaa                                                                                     oUjamaa

27.o Maswala ya Wanawake/Wanaharakati watetezi wa Maswala ya Wanawake                                            

                                                                                                                o Maswala ya Wanawake/Wanaharakati

watetezi wa Maswala ya Wanawake

28.o Nyingine, orodhesha tafadhali ___________________  

o Nyingine, orodhesha tafadhali _______________________

 

V. Maoni

51. Tafadhali andika hapo chini iwapo una maoni yoyote kuhusiana na utafiti huu, mambo ambayo hayajaelezewa ndani yake, au maoni ya jumla kuhusiana na Kongamano la Kijamii la Kidunia.:

____________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

 

Tunakushukuru kwa kuchukua muda wako kujibu maswali haya. Unapokamilisha kujaza, tafadhali rudisha kwa mtu aliyekupatia hojaji hili. Au tuma hojaji hili la utafiti lililokamilika kwa:

Institute for Research on World-Systems

RE: Research Working Group on Transnational Social Movements College Building South

University of California-Riverside

Riverside, CA. 92521 USA